MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla, akizungumza na wananchi wa Chake Chake wakati wa Uzinduzi wa Ofisi ya
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za maji na nishati Zanzibar (ZURA) mjini Chake
Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
Menu
▼
Friday, October 14, 2016
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba azindua Ofisi ya mamlaka ya udhibiti wa huduma za Maji na Nishati ( ZURA) Tibirinzi, Pemba
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla, akizindua Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati
Zanzibar (ZURA) iliyopo Tibirinzi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Hemed Salim Hemed, akifahamisha jambo Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdall, wakati alipokuwa akikagua
Ofisi hiyo baada ya kuizinduwa rasmi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Hemed Salim Hemed, akitoa maelezo kwa Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla wakati alipokuwa akikagua
ofisi hiyo ya ZURA Chake Chake Pemba, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya
Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Mhe:Ali Khalili Mirza.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MSOMAJI Utenzi maarufu Kisiwani Pemba Halima,
akighani Utenzi katika hafla ya Uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa
Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)iliyofanyika Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANANCHI mbali mbali wa Wilaya ya Chake Chake
wakifuatilia kwa makini Uzinduzi wa Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Uzinduzi huo uliofanyika katika Ofisi hizo
Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
NAIBU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Hemed Salim Hemed akizungumza na wananchi wa
Wilaya ya Chake Chake mara baada ya uzinduzi wa ofisi hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Haji Kali Haji akitoa taarifa ya kitaalamu
katika uzinduzi wa Ofisi ya mamlaka hiyo Mjini Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma
za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Mwalim A. Mwalimu akitoa salamu za bodi ya
mamlaka hiyo wakati wa uzinduzi wa Ofisi hiyo huko Chake Chake .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na
Mazingira Zanzibar Mhe:Ali Halil Mirza akizungumza na wananchi wa Chake Chake
wakati wa uzinduzi wa ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati
Zanzibar (ZURA)iliyopo Mjini Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, wakifuatilia kwa makini hutuba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba
Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Chake
Chake katika uzinduzi wa Ofisi ya ZURA Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment