Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akiwa katika Kikao cha Pamoja na Kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo , wakijadili namna ya kukabiliana na sherehe za mwenge wa uhuru unaotarajiwa kuwasili Wilayani humo mapema wiki hii .
No comments:
Post a Comment