Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ wakitowa huduma ya kibenki kwa wananchi waliofika katika viwanja vya Amaan Zanzibar wakati wa Bonaza la Michezo na Uzinduzi wa Ligi ya Mpira ijulikanao kwa Jina la Mkombozi Cup PBZ itakayoshirikisha timu 14,Wakati wa Bonaza hilo PBZ imetowa huduma za kugawa Card za ATM kwa wateja wao waliokuwa bado kuchukua card zao na kufungua akauti kwa wateja wapya na kuwaunga katika mtandao wa mobile bank.
No comments:
Post a Comment