Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokelea na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemeid Suleiman baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kisiwani Pemba kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo katika kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kwa kuzindua Miradi ya Maendeleo kisiwani huo.