Menu

Wednesday, May 2, 2018

Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja Kati ya Kipanga na Chuoni Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Kipanga Imeshinda Bao 1-0.g

Mshambuliaji wa Timu ya Kipanga akiwapita mabeki wa Timu ya Chuoni wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.







No comments:

Post a Comment