Habari za Punde

Kikosi cha zimamoto chafanikiwa kuzima moto uliokuwa ukiwaka ndani ya uzio Viwanda vidogo vidogo Amani

Moto huo haikujulikana chanzo,lakini Idara Habari (MAELEZO) imeweza kuona taka taka zikiwaka moto katika Jaa lililomo ndani ya uzio wa Viwanda Vidogo Vidogo ambapo mabaki ya kanda za video yamechomwa na kusababisha moto kusambaa


Kwa mujibu wa kamanda wa kikosi cha Zimamoto chanzo cha moto huo bado hawajakijua lakini wapo katika uchunguzi lakini alielezea kuwepo kwa Jalala ambalo ndilo limeshika moto kunaweza kuwa sababu ya kuwaka moto huo ambao tayari wameudhibiti.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.