Menu

Monday, October 8, 2018

Ligi Kuu Kanda ya Unguja Zikiendelea Katika Uwanja wa Gymkhana Kati ya Afya na JKU.Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa Mabao 48 - 28.

Mchezaji wa Timu ya Afya Zanzibar akijiandaa kudaka mpira wakati wa Mchezo wao wa Ligi Kuu ya Netiboli Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana. Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa mabao 48 - 28.









No comments:

Post a Comment