Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akinawa mikono kabla ya kuingia ofisini
kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma leo, kuendelea na majukumu yake, ikiwa
ni njia moja wapo ya kufanya mfano kwa vitendo na kusisitiza askari wote
kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na
wataalamu wa afya ili kujikinga na virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID –19).
No comments:
Post a Comment