Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Menu
▼
Saturday, March 7, 2020
Mchezo wa Ligu Kuu Mpira wa Kikapu Zanzibar Kati ya Nyuki na Usolo Magic Mchezo Uliuofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Nyuki Imeshinda Kwa Vikapu.71 -64.
Mchezaji wa Timu ya Usolo Magic akiwa hewa akiifungia Timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mpira wa Kikapu uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu ya Nyuki imeshiunda mchezo huo kwa Vikapu 71-64.
No comments:
Post a Comment