Habari za Punde

MKUU WA MKOA KUSINI UNGUJA AWAHUTUBIA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MAADHIMIDHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akihutubia wananchi kupitia vyombo vya habari katika maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani zilizofanyika Ofisi ya Mkoa Kusini kitaifa.
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Kitwana Mustafa akichangia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja katika Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani zilizofanyika Ofisi ya Mkoa Tunguu.
Meneja wa Programu Shirikishi ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma Dk. Farhat Khalid akitoa ufafanuzi wa masuala ya Waandishi wa Habari katika Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu yaliyofanyika Ofisi ya Mkoa Kusini Unguja ziliopo Tunguu.
Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja,Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya na Maafisa wa Programu Shirikishi ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma baada ya kumaliza hotuba ya Maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu yaliyofanyika Ofisi ya Mkoa Tunguu.

Picha na Makame Mshenga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.