Menu

Tuesday, March 10, 2020

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Aongoza Kikao Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu  Jijini Dar es salaam. Machi 09, 2020

No comments:

Post a Comment