Wananchi watakiwa kuwa na tahadhari ya maambukizo ya Maradhi ya Corona kwa kuosha mikono kwa kutuymia Sabuni na Sanitaiza ili kuepuka na maambukizo ya Corona. Kama inavyooneka msikiti wa muembeshauri Masjid Mushawar wakiwa wameweka madoo ya maji yenye dawa kwa ajili ya kuosha mikono yao Waumini wanapofika msikitini hapo kwa ibada.
No comments:
Post a Comment