Menu

Saturday, March 7, 2020

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Hadhara Uwanja wa Jitegemee Wilayani Muheza.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jitegemee Muheza wakati wa ziara yake Mkoani Tanga .
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jitegemee, Muheza. 
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jitegemee, Muheza Machi 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment