Menu

Friday, August 21, 2020

Viongozi wa Dini Zanzibar Wapata Mafunzo Kuhusiana na Corona

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Swaleh Omar Kabi akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali kuhusiana na uwepo wa Janga la Korona na Umuhimu wa Kunawa mikono hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria katika  Mafunzo kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali kuhusiana na uwepo wa Janga la Korona na Umuhimu wa Kunawa mikono hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.
Mkuu wa kitengo cha Elimu ya Afya Zanzibar Halima Ali Khamis akitoa mafunzo kuhusiana na Umuhimu wa kunawa Mikono katika mafunzo ya uwepo wa Janga la Korona  yaliojumuisha  Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali  iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar.   
Mkufunzi kutoka Wizara ya Afya Issa Abeid Mussa akitoa mafunzo kuhusiana na Uwepo wa Janga la Korona katika mafunzo  kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali  iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar. 
Katibu wa Mufti zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume akitoa hotuba ya ufungaji wa  mafunzo  kwa Mashekh, Walimu na Viongozi wa Serikali kuhusiana na uwepo wa Janga la Korona na Umuhimu wa Kunawa mikono hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mufti Mazizini Zanzibar. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment