Menu

Sunday, September 20, 2020

AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, akifungua mafunzo ya siku nne kwa vijana juu ya umuhimu wa kutunza Amani ya nchi, huko katika ukumbi wa Michezo Gombani
KATIBU Tawala Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla Rashid Ali, akizungumza na Vijana pamoja na kuwasisitiza kwua wazalendo wa kweli wan chi yao, mafunzo yaliyofanyika ukumbi wa michezo Gombani.

VIJANA kutoka taasisi mbali mbali zikiwemo za ulinzi Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya utunzaji wa Amani nchini, huko katika ukumbi wa michezo Gombani.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment