Menu

Tuesday, September 22, 2020

JET Watembelea Arusha Kuandia Habari za Kitalii na Uhifadhi wa Wanyamapori

MKURUGENZI Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa habari za mazingira  Tanzania (JET) John Chikomo kushoto akisalimiana na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Richard Kwitega, mara baada ya kufika katika mkoa huo na kujitambulisha juu ya uwepo wao kwa lengo la kuandika habari za masuala ya uhifadhi wa wanyamapori na utalii mkoani humo
WANACHAMA wa Chama cha Waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET), wakiwa katika picha ya Pamoja na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha  Richard Kwitega (katikati), walipofika kujitambusha juu ya uwepo wao kwa lengo la kuandika habari za masuala ya uhifadhi wa wanyamapori na utalii mkoani humo.
(PICHA KWA HISANI YA JET)
 

No comments:

Post a Comment