Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais Mhe Hemed awatembelea viongozi wastaafu

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla Kushoto akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar wa Awamu ya Saba Dr. Ali Mohamed Shein alipofika Nyumbani kwake Kibele kumtembelea.
Rais Mstaafu Dr. Ali Mohamed Shein Kulia akimkaribisha Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan Nyumbani Kwake Kibele Wilaya ya Kati
Mheshimiwa Hemed Kushoto akimuamkia Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mama Mwanamwema Shein.
Mama Mwanamwema Shein Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Kulia akisabahiana na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan Nyumbani kwake Kibele.
Dr. Ali Mohamed Shein Kulia na Mkewe kulia yake  Mama Mwanamwema Shein wakibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla wa pili kutoka Kushoto na MkeweMama Sharifa Omar Khalfan hapo kibele
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla Kushoto akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika nyumbani kwake Kama Wilaya ya Magharibi A kumsalimia na kubadilishana mawazo.
Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan Nyumbani Kwake Kama Wilaya ya Magharibi A.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla Kushoto akisalimiana na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi hapo Kama
Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia wakibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla hapo Nyumbani kwake Kama Wilaya ya Magharibi A.

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi Kulia akibadilishana mawazo na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan Nyumbani Kwake Kama Wilaya ya Magharibi A.

Picha na – OMPR – ZNZ.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.