Menu

Wednesday, December 23, 2020

Rais Dk Hussein Mwinyi akiongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 23 Disemba 2020. 

No comments:

Post a Comment