Menu

Tuesday, October 12, 2021

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Azindua Katiba ya TAUTA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua Katiba ya Jumuiya ya Wakimbiza Mwenge Kitaifa  (TAUTA)  alipozindua wiki ya vijana kitaifa, katika uwanja wa wa Mazaina, Wilayani Chato, Mkoa wa Geita  Oktoba 12, 2021. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment