Menu

Tuesday, October 11, 2022

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar Kati ya Zimamoto na Kundemba Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto Imeshinda Bao 1-0

Beki wa Timu ya Kundemba akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ,mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja.Timu ya Zimamoto imetoka na ushindi wa bao 1-0.





No comments:

Post a Comment