Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya
Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki
Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed
Chande Othman kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15
Julai, 2023
Mwenyekiti wa Tume ya
Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu
Mstaafu Mohamed Chande Othman akizungumza wakati akiwasilisha Taarifa ya Tume
hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu
Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki
Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa
picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo pamoja na Sekretarieti Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
No comments:
Post a Comment