Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aongoza matembezi na mbio fupi kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mkewe  Mama Mariam Mwinyi  pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu wakimsikiliza Bi.Fatma Ussi Yahya Afisa Afya ya Uzazi Mama na Mtoto -Kitengo Shirikishi Afya ya Uzazi Wizara ya Afya Zanzibbar,walipotembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kumalizika kwa  matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania yenye  lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiongoza matembezi na mbio fupi yaliyofanyika Leo kuanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, yalioyoandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye  lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama (kulia) Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla, Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 26/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa  matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye  lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama .[Picha na Ikulu] 26/08/2023.
Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwa ni mshiriki wa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa wa Mjini Magharibi, akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa matembezi hayo , ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye  lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama .[Picha na Ikulu] 26/08/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mkewe  Mama Mariam Mwinyi  pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu wakimsikiliza Meneja Vipindi wa kampuni ya Pharm Access Ndg.Faiza Bwanakheri  Abbas walipotembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kumalizika kwa  matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye  lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama .[Picha na Ikulu] 26/08/2023.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank Tanzania Bw.Obedi Laiser akiwa ni mdhamini Mkuu, alipokuwa akitoa salam fupi wakati wa hafla ya kampeni ya  kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania .[Picha na Ikulu] 26/08/2023
Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,alipokuwa akielezea malengo ya Matembezi  wakati wa hafla ya kampeni ya  kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 26/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika  hafla ya kampeni ya  kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania(kulia) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghjaribi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,katika  hafla ya kampeni ya  kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kushoto Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 26/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokua akiagana na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu, baada ya kumalizika kwa   hafla ya kampeni ya  kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi leo, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kulia)Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi .[Picha na Ikulu] 26/08/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.