Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17 Januari, 2025.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa (NEC) wakiwa kwenye Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17 Januari, 2025.
No comments:
Post a Comment