Menu

Tuesday, February 18, 2025

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Balozi Jamhuri ya Korea Nchini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea  Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye  Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha  ya Twiga,  Balozi wa Jamhuri ya Korea  Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju baada ya  mazungumzo yaliyofanyika kwenye  Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  Balozi wa Jamhuri ya Korea  Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju baada ya  mazungumzo yaliyofanyika kwenye  Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025

No comments:

Post a Comment