Menu

Tuesday, April 22, 2025

INNA LILLAH WAINNA ILAYH RAJIOUN IBRAHIM SANYA MBUNGE MSTAAFU MJI MKONGWE ZANZIBAR AMEFARIKI DUNIA

 ن



اللهم صّلِ وسَلّمْ عَلۓِ نَبِيْنَامُحَمد ﷺ

Mbunge  Mstaafu wa Jimbo la Mji Mkongwe (Malindi) (1995—2005) Maalim Muhammad Ibrahim Sanya  ametangulia mbele ya haki.

Maziko kesho Jumanne (22/04/2025) Saa Nne Asubuh kwa Wanaume na  Wanawake Saa Mbili asubuhi Mkunazini na kuzikwa makaburi ya Sunni Jamaat Kijitoupele, Zanzibar.

اللهم صّلِ وسَلّمْ عَلۓِ نَبِيْنَامُحَمد ﷺ

No comments:

Post a Comment