Menu

Monday, April 28, 2025

Mafunzo ya Elimu ya Anga Yatolewa Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mwalimu Dk,Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Elimu ya Anga yaliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.
Mkuu wa Divisheni ya Usuluhishi na Utatuzi wa Migogoro Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Shaabani Salum akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Elimu ya Anga iliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

Mtaalamu wa Elimu ya Anga Kutoka Oman Sheikh Abdulwahab Suleiman Mohamed Al busaidy akitoa mada ya Umuhimu wa kujuwa Elimu ya Anga katika hafla ya Ufunguzi wa  Mafunzo ya Elimu ya Anga yaliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

Mkuu wa Divisheni ya Usuluhishi na Utatuzi wa Migogoro Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Shaabani Salum akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Elimu ya Anga iliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

Balozi Mdogo wa Oman Said Salim Al Sinawy akiwa amehudhuria katika Ufunguzi wa  Mafunzo ya Elimu ya Anga yaliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

Baadhi ya Masheikh waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Elimu ya Anga iliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

Baadhi ya Masheikh waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Elimu ya Anga iliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar. 
Mtaalamu wa Elimu ya Anga Kutoka Oman Sheikh Abdulwahab Suleiman Mohamed Al busaidy akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana  Umuhimu wa kujuwa Elimu ya Anga katika hafla ya Ufunguzi wa  Mafunzo ya Elimu ya Anga yaliofanyika katika Msikiti wa Jamii Zinjibar Kiembe Samaki Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.25/04/2025

No comments:

Post a Comment