Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika na Mambo ya
Nje wa Jamhuri ya Senegal Mhe.Yassine Fall ambaye amewasilisha Ujumbe Maalum wa
Rais wa Senegal Mhe. Bassirou Diomaye Faye kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2025.

No comments:
Post a Comment