RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini
ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025 na (kushoto)
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban,
uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025.
No comments:
Post a Comment