Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
SHEIKH JABIR HAIDAR AL FARSY ameariki dunia, Usiku wa kuamkia Jumatano-28.5.25.
Maziko yatafanyika Leo Alhamisi 29.5.25, kwa wanawake watakuwa pale kwa kaka yake (Kassim) Kikwajuni maiti itasaliwa Msikiti wa ijumaa malindi Saa 10:00 alaasiri.
No comments:
Post a Comment