Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichofanyika Mkoani Dodoma tarehe 26 Mei, 2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Wajumbe wa Kikao cha
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wa Chama hicho tarehe 26 Mei, 2025
Mkoani Dodoma kusimama kwa dakika moja kumuombea dua aliyekuwa Makamu wa Kwanza
wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya aliyefariki tarehe 7 Mei,
2025 na kuzikwa kijijini kwake Chomvu, Usangi, Wilayani Mwanga mkoani
Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment