RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya aliyekuwa
Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji wa Serikali Marehemu Charles
Martin Hilary, wa hafla ya kuuaga mwili wa Marehemu iliyofanyika katika viwanja
vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment