Menu

Tuesday, May 20, 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amefungua Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Chinangali  jijini Dodoma  kufunga  Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Dunaini , Mei 20, 2025.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Chinangali  jijini Dodoma  kufunga  Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Dunaini , Mei 20, 2025.

Wasanii wa kundi la Miso Misondo wakitumbuiza katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye viwanja vya Chinangali  jijini Dodoma, Mei 20, 2025. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofunga Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye Viwanja vya Chinangali  jijini Dodoma, Mei 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment