Menu

Wednesday, June 11, 2025

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JUNI 11, 2025.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizingumza na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizingumza na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Andrea Kundo Mathew, bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2025.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko (wa kwanza kushoto) pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji Stanslaus Nyongo (katikati) bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment