Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Menu
▼
Monday, June 30, 2025
Mhe.Hemed Suleiman Abdullah Amechukua Fomu Kongombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani Pemba
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Hemed Suleiman Abdulla akichuchua fomu ya kugombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani Pemba akikabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba Ndg. Khamis Juma Omar.
No comments:
Post a Comment