Menu

Monday, June 16, 2025

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA Mkoa wa Simiyu

Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu ambalo limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu tarehe 16 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kufungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. 

 

No comments:

Post a Comment