Menu

Tuesday, June 10, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Gawio la Serikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025. 

Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu akizungumza kwenye hafla ya kupokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025. 

Viongozi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi pamoja na Mashirika ya umma wakiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025. 














No comments:

Post a Comment