Menu

Wednesday, June 25, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji Mjini Mapu

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Taji la Maua kwenye Mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni, 2025.




No comments:

Post a Comment