Menu

Monday, July 28, 2025

Maonesho ya Sita ya Wiki ya Elimu ya Juu Zanzibar

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba,  Mhe.Mgeni Khatib Yahya (wa Kwanza kushoto), akipata maelezo kuhusu fani mbalimbali zinazotolewa na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), alipotembelea banda la Taasisi hiyo katika maonesho ya Sita ya Wiki ya Elimu ya juu yaliyofanyika viwanja vya Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Mhe.Mgeni Khatib Yahya akisaini Kitabu cha wageni alipotembelea banda la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), katika maonesho ya Sita ya wiki ya Elimu ya juu yaliyofanyika viwanja vya Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba. 

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba,  Mhe.Mgeni Khatib Yahya (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi waTaasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST). alipotembelea banda la Taasisi hiyo katika maonesho ya Sita ya Wiki ya Elimu ya juu yaliyofanyika viwanja vya Gombani Wilaya ya Chake Chake Pemba.

PICHA NA MARYAM KIDIKO-KIST.



No comments:

Post a Comment