Menu

Thursday, July 10, 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Semina ya Wataalamu Wasanifu wa Majengo Afrika Mashariki

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya NITCO. Binu Raj, wakati akitembelea maonesho, kabla ya kuifungua Semina ya Wataalamu Wasanifu Majengo  Afrika Mashariki, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-2025, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said




















 

No comments:

Post a Comment