RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali
alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya
ufunguzi wa jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Awamu ya Pili, ufunguzi huo
uliyofanyika leo 12-7-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muwekezaji Mzawa wa Hoteli
ya Golden Tulip Zanzibar Ndg.Hassan Mohammed Raza, alipowasili katika viwanja
vya hoteli hiyo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya jengo jipya la
Hoteli Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar, ufunguzi huo
uliofanyika leo 12-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja awamu ya pili ya ujenzi huo,(kushoto) Muwekezaji Mzawa wa
Mradi huo Ndg.Hassan Mohammed Raza, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo
12-7-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua jengo jipya la
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 12-7-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Muwekezaji mzawa wa Mradi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Ndg.Hassan Mohammed Raza akitowa maelezo ya mradi huo, wakati wa hafla
ya ufunguzi wa jengo jipya la hoteli hiyo awamu ya pili uliyofanyika leo
12-7-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa
jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, awamu ya pili, hafla hiyo iliyofanyika leo 12-7-2025.
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika
ufunguzi wa jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar awamu ya pili,
ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-7-2025

No comments:
Post a Comment