Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji Goerge Joseph Kazi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Vyeti vya Uteuzi wa Wagombea Kiti cha Urais wa Zanzibar na Magari kwa ajili ya kuyatumia katika Kampeni zao za kuwania Urais wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 11-9-2025.
Wagombea Urais wa Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji Goerge Joseph Kazi akizungumza na kutaja majina ya Wagombea 11 waliteuliwa kugombea Kiti cha Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025, hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Wila ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 11-9-2025.

No comments:
Post a Comment