Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Singida katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Bombadia
mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Singida waliohudhuria
mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika
uwanja wa Bombadia mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika uwanja wa Bombadia mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment