Menu

Saturday, September 6, 2025

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa CCM

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Makambako katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Njombe tarehe 06 Septemba, 2025.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Makambako katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Njombe tarehe 06 Septemba, 2025.











 

No comments:

Post a Comment