Menu

Monday, September 1, 2025

Wagombea Uteuzi wa Rais wa Zanzibar 2025 Wachukua Fomu za Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji George J. Kazi amekabidhi fomu ya uteuzi kwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar 2025 kwa Chama cha NCCR-MAGEUZI, Mhe. Laila Rajab Khamis ,hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara 31-8-2025 Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi akimkanidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Kijamii (CCK), Mhe. Isha Salim Hamad ,hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi akimkabidhi Fomu ya Uteuzi wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tuketi ya Chama Cha Wananchi-CUF, Mhe. Hamad Masoud Hamad,hafla hiyo ya iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi, akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kutoka Chama Cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Mfaume Khamis Hassan,hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi  akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar kutoka Chama Cha Alliance For African Farmers Party, Mhe. Said Soud Said , hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kutoka Chama cha ACT-WAZALENDO, Mhe. Othman Masoud Othman, hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar kutoka Chama Cha ADA TADEA , Mhe. Juma Ali Khatib , hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi amkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar kutoka Chama cha SAU , Mhe. Ali Mwalimu Abdallah ,hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Hussein Juma Salum , hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar kutoka Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Khamis Faki Mgau ,hafla hiyo iliyofanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment