Menu

Tuesday, September 2, 2025

Wagombea Uteuzi wa Rais wa Zanzibar Wachukua Fomu za Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi mkoba ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama Cha UDP  Mhe. Naima Salum Hamad, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi mkoba ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Urais wa Zanzibar wa Chama Cha MAKINI Mhe. Ameir Hassan Ameir , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha UPDP  Mhe. Hamad Mohammed Ibrahim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi mkoba ukiwa na Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha ADC Mhe. Hamad Rashid Mohamed, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha DP  Mhe. Shafi Hassan Suleiman, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment