Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt Jakaya Kikwete akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Wekezo Zanzibar wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Asma Ali Hassan Mwinyi wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Hawaii Masingini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 12-10-2025, na kuwaombea Kura Wagombea Wote wa CCM.
No comments:
Post a Comment