Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Menu
▼
Saturday, October 18, 2025
Michuano ya Kombe la Shirikisho Kati ya Azam na KMKM Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Timu ya Azam Imeshinda Bao 2-0
Mshambuliaji wa Timu ya Azam Feisal Salum (Feitoto) akijiandaa kupita beki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Kombe la Shirikisho mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo huo timu ya Azam imeshinda bao 2-0.
No comments:
Post a Comment