Menu

Sunday, October 26, 2025

Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva Watowa Burudani Wakati wa Ufungaji wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar

Msanii wa Bongo Fleva Nandy akiburudisha kwa wimbo wake wa kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa uongozi wake imara kuiongoza Zanzibar kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa mkutano wa kufunga Kampeni za CCM uliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo 26-10-2025.  





No comments:

Post a Comment