Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Kumi na Moja la Wawakilishi Zanzibar limalofanyika kesho Alhamis 6-11-2025. kwa kumchasgua Spika wa Baraza na kufuatiwa na kuapishwa kwa Wajumbe Wateule wa Baraza la Wawakilishi, mkutano huo na waandisi uliofanyika katika ukumbi mdogo wa baraza Chukwani Jijini Zanzibar leo 5-11-2025.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakimsikilia Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem wakati wa mkutano wake akitowa taarifa ya maandalizi ya Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Kumi na Moja utakaofanyika kesho 6-11-2025.







No comments:
Post a Comment