Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akizungumza katika Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Kumi na Moja la Wawakilishi, baada ya kumaliza kuwaapisha Wajumbe wapya wa Baraza.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Jaku Hashim Ayub kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Said Ali Mbarouk kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Khadija Salum Ali kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Badria Atai Masoud kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Mudrik Ramadhan Suleiman Soraga kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Simai Mohammed Said kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.












No comments:
Post a Comment